Wasanii 10 Waliobuma Pamoja na Kutoa Nyimbo Kali Mwaka Huu
Mara baada ya team za pande mbili kuendelea kushamiri katika mitandaoni hali hii imewanyima nafasi wasanii wengine wa bongo kufanya vizuri nyimbo 10 ambazo zimeshidwa kufanya vizuri 2016 ni hizi
1. Kassim Mganga _Manuari
Pamoja na kutoa nyimbo nzuri yenye mahadhi ya pwani kama kawaida yake lakini nyimbo imeshindwa kufanya vizur kama ilivotegemewa ina miezi kadhaa lakini hakuna kitu
2. Mo _music_ Ado ado
Msanii aliyekuja kwa kishindo kwenye sanaa baada ya kutoa basi nenda ilikuwa kama wimbo wa taifa sasa amekuja na ya ado adi watu kama hawana habar nayo hata baada ya kufanya kichupa kikali
3. Lady Jay Dee_Sawa na wao
Baada ya kutoa ndi ndi ndi ilifanya vizuri akaachia nyimbo mpya
ni nyimbo iliyobuma kabisa
4. Chid Benz ft Raymond _Chuma
Baada ya chid benz kutoka sober alitoa nyimbo aliyemshirikisha kijana wa diamond lakini haijapata mapokezi makubwa
5. Linah Sanga_Raha Jipe Mwenyewe
Nayo ni miongoni mwa nyimbo ambazo azijafanya vizuri wala kusikika
6. Young killer ft mr blue
Msanii young kila alikuja moto sana wakati anakuja ila amejikuta anawakati mgumu baada ya hizi siku zakalibuni kutoa nyimbo mbili zote zimebuma kwa kuendelea kutumia style zile zile
7. Banana Zolo ft Peter Msechu_Mama
Hii ni nyimbo ya mama iliyobuma pamoja ujumbe uliopo ndani awali kipindi cha nyuma banana alishatoa nyimbo ya mama ilishafanya vizur mama zingine zilizofanya vizur ni ya bela na yamoto
8. Kala Jelemaya _ Wanandoto
Pamoja na ujumbe ulioimbwa ila watu wameuupuuza sababu pia nyimbo imewaendea walengwa pekeyao
9. Ommy Dimpoz_Hawapendagi
Nayo mashabiki hawajaielewa imebuma mazima
10.Baraka da prince ft alikiba _ Nisamee Unaionaje?
No comments: