Vitu ambavyo vinahisiwa kuwa na uhusiano na mambo ya kishirikiana ambavyo baadhi ya mashabiki kati ya Yanga na Simba wamedaiwa kuvinasa kwenye Uwanja wa Taifa kuelekea derby yao kesho.
Vitendo hivi ya kishrikina si vigeni sana kwenye mechi nyingi za Yanga na Simba.
Mmmmhhh aisee soka la bongo na ushirikina
ReplyDelete