BREAKING NEWS: Prof. Lipumba atimuliwa rasmi CUF

BREAKING NEWS: Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la CUF kwa kutumia uwezo wake kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 10 (1)(c) limemfukuza uanachama Prof. Ibrahim Lipumba.

No comments:

Powered by Blogger.