AJALI YA MAAJABU ILIYO TOKEA LEO JIJINI DAR..


Wapita njia wakitazama “maajabu” gari hili lililokuwa likitoka Mtongani kuelekea Mbagala jijini Dar es Salaam, likiwa limeacha njia na kuparamia kingo ya barabara lakini lakustaajabisha wengi gari hilo liliparamia kingo hiyo kwa nyuma kama inavyoonekana.

No comments:

Powered by Blogger.