VIDEO: Edward Lowassa ametoa kauli hii kuhusu CHADEMA kufanya maandamano
July
09 2016 Waziri mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kupitia CHADEMA,
Edward Lowassa amekutana na umoja
wa mameya na wenyeviti wa halmashauri wa
CHADEMA.
Wakati akizungumza nao Lowassa
amesema chama hicho kinatakiwa kiachane na uanaharakati na maandamano ili
kiweze kujipanga kuchukua nchi 2020, Lowassa amesema…….
>>>’Chama
cha siasa kazi yake ni kukamata dola basi, hakuna kitu kingine duniani, vision
ya chama cha siasa ni wanasiasa kukamata dola, mnapokaa hapa mjiandae kukamata
dola na sio kitu kingine, acha habari ya maandamano, maandamano ni process’
No comments: