Wanafunzi Rucu kitivo cha teknolojia ya habari na mawasiliano walitembelea kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingiza magumu cha Huruma kilichopo maeneo ya Donbosco pembezoni mwa manispaa ya Iringa.Upendo ni kutoa kilicho chini ya Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT), kinalea watoto 40 waishio ndani ya kituo na 33 waishio nje ya kituo.Kituo kina lea watoto wenye umri kuanzia miaka 5 hadi 14.Mahitaji ya watoto ni mapoja na chakula,mavazi,vifaa vya shule pamoja na mahitaji mengine muhimu kwa watoto ya kila siku katika maisha.
Chambo Maguni akisalimia na watoto
wana rucu pamoja na watoto
Darubiniyako na Daa Chambo
Wana ICT RUCU na Matroni
kaka Musiba
Ukiwa ndugu, jamaa au rafiki mwenye mapenzi mema unaombwa kuwasaidia watoto kwa chochote utakacho weza.
Mkuu wa kituo 0755301740
Matroni 0762615592
Asanteni na
Mungu awabariki wote
Kutoa ni moyo na si utajiri
Reviewed by Unknown
on
23:56
Rating: 5
No comments: