Gwajima amuumbua Makamba Kwa majibu haya

MAJIBU YA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA KWA Mzee Yusuph Makamba!
.., Ameyatoa maneno haya, jana wakati wa ibada ya maombezi katika kanisa lake....
".., Kwa bahati mbaya sina leseni ya kuendesha magari madogo madogo.., ila kama ingekuwa semi trela au treni au ndege.., hapo sawa nigeendesha ila kwa kuwa sina leseni ya kuendesha bajaji na guta basi hivyo siyo saizi yangu,..., Kule kwetu Usukumani tulifundishwa vitu 3 vya kuogopwa kuvipiga, navyo ni:
1.Mzee 2.Mgonjwa na 3.Mlevi .., Mbaya zaidi mtu akiwa navyo hivi vyote na ukampiga ngumi moja basi ujue unaweza kupatwa na kesi ya mauaji.., hivyo leo wacha nifuate hekima za kwetu Usukumani.
#pointiyamsingi kwa mujibu wa Gwajima, Yusuph Makamba ni mzee, mgonjwa na pia ni mlevi hivyo hataweza kuhimili vishindo vya majibu ya Gwajima....
Chanzo: Tanzania Daima  tar 25 Julai 2016.

No comments:

Powered by Blogger.