Mti wa ajabu Tanga wazua gumzo unabadilika taswira ya Mwalimu Nyerere


Taarifa kutokea Tengamano Tanga ambapo imedaiwa mti aina ya muembe umetokezea taswira ya Mwalimu Nyerere upande wa kwanza
na Mama Maria Nyerere upande mwingine. Tukio hilo limeseme kana lilianza kujitokeza June 6 2016shuhuda Awadhi Ally kutokea eneo la tukio usiku wa saa tano, na ameeleza kuwa……………
ni kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza,  hapa nilipo ndio naona hali halisi ya huu muembe ni kama mtu alijaribu kuuchonga’
sikiliza hapa

No comments:

Powered by Blogger.