SUGU AZUA TAFRANI BUNGENI LEO


Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi 'Sugu', amejikuta matatizoni baada ya kudaiwa
kuwaonyesha wabunge wenzake ishara ya kidole cha kati ambacho hutafsiriwa kuwa ni tusi.
Unadhani anastahili adhabu?

No comments:

Powered by Blogger.