Wamjia juu Mbunge Sugu kuhusu kauli zake Bungeni


Huyu mbunge Sugu akichangia hoja huwa anachanganya kiswahili na kiingereza ili aonekane msomi.Wakati hamna kitu.Ukimsikiliza tu anavyoongea unajua ana elimu ya kuunga unga akitafuta aonekane naye yumo yumo.

Ushauri wangu achague ama aongee kiswahili au kiingereza.Lakini hicho cha kuunga unga na kuokoteza okoteza maneno ya kiingereza anatuchanganya na kutukera.

No comments:

Powered by Blogger.