Mbunge Maarufu Wa CHADEMA Apata Ajali Mbaya & Hali Yake Kwa Sasa

Mbunge wa Serengeti Mh.Ryoba amepata ajali ya gari la gari lake kuharibika,ameandika hivi katika ukurasa wake wa FB
 


Ndugu zangu nimepata ajali mbaya sana baada ya gari langu kukata ball joint. Gari limegonga ukuta wa mtaro na kupinduka upside down , maeneo nyichoka huku Serengeti Gari limeharibika sana . Tulikuwa watatu ndani ya gari hakuna aliyeumia. God is great no one like Him. Asante Yesu kwa kuniokoa

image.jpeg


 

 image.jpeg image.jpeg

 image.jpeg

No comments:

Powered by Blogger.