Lema aleta shida bungeni hotuba yake yazuiliwa kusomwa mpaka Kamati ya kanuni iipitie


Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ya Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo Ndani ya
Nchi, Godbless Lema imezuiliwa kusomwa.

Imezuiliwa kusomwa mpaka kwanza kamati ya Kanuni ya Bunge iipitie hotuba hiyo kabla ya kusomwa bungeni ili kuangalia kama hotuba hiyo imekiuka kanuni za Bunge.

No comments:

Powered by Blogger.