Kauli ya Msemaji wa Yanga Baada ya Simba Kufungwa na Mwadui na Kuipa Yanga Ubingwa hii Hapa


"Tunawashukuru sana wa matopeni kwa kutubeba, hii inadhihirisha ni jinsi gani
wanatupenda, bahati nzuri hata sisi tunabebeka, unajua unapobebwa, yule anayekubeba sharti achutame halafu unayebebwa unampandia juu, juu ya mgongo, Simba wametubeba kwa kutupa ubingwa"

Je, unakubaliana na kauli hii ya msemaji wa Yanga?

No comments:

Powered by Blogger.