Mwanamke Kuwa Juu ya Mwanaume ni Mtindo Hatari Wakati wa Tendo la ndoa
Wanasayansi
nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi
katika ufanyaji
tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.
Kwa mujibu wa
utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na
huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume
Wanasayansi hao
wanasema:
Pindi mwanamke
anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua
kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya
kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa
mwanaume.
“Pindi mwanaume
anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake
kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza
hatari.
Hivyo inashauriwa
kuepuka staili hiyo...

No comments: