Mabibi na mabwana Fid Q katuletea video hii, kamshirikisha Taz inaitwa Walk It Off
Mtu wangu wa nguvu mkali wa mashairi anayeiwakilisha Farid Kubanda ambaye wengi tumemzoea kwa jila na Fid Q kaja na video mpya ya Walk It Off
kamshirikisha Taz, mkali wa mashairi kaja na video ambayo unaweza kuita moja kati ya video bora za wasanii waTanzania kwa mwaka 2016 Mtu wangu. Enjoy video mpya ya Fid Q
No comments: