Kanye West aomba pesa kutoka kwa Zuckerberg
Mwanamuziki Kanye West amemuomba hadharani
mwaanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ampe usaidizi wa kifedha.
West anataka Zuckerberg awekeze $1bn (£700m) katika miradi yake akisema yeye binafsi hana “rasilimali za kutosha” kuunda kile ambacho “anaweza”.
Ametoa ombi hilo siku chache tu baada ya kutangaza kwamba ana deni la $53m (£36m) alipokuwa akitoa albamu yake mpya
No comments: