Wananchi wafunga barabara eneo la mkwajuni kupinga bomoabomoa

Zoezi la Bomoabomoa leo lilikua likiendelea katika eneo la Mkwajuni, Dar es salaam, lakini safari hii
wananchi waliobomolewa nyumba zao wameonekana kupandwa na hasira na kufunga barabara.
Wananchi hao waliamua kuchoma matairi katikati ya barabara na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo hadi askari wa FFU walipoingilia kati.
Hizi ni baadhi ya Picha kutoka eneo la tukio.
NJIA

NJIA2

NJIA3

NJIA4


No comments:

Powered by Blogger.