Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wapata kura 0, UKAWA 31



Baada ya mvutano mkali unaoendelea wabunge wa CCM wa ilala wametoka nje kususia
uchaguzi.
Matokeo ya Umeya Ilala,
1. Charless Kuyeko (UKAWA) kura 31,
2. Heri Kessy (CCM) kura 0.
Chanzo ITV

No comments:

Powered by Blogger.