lissu asema haya baada ya Dr slaa kuongea na wanahabarri
Akihojiwa na Sauti ya America leo Tundu Lissu kasema kujiuzuru kwa Dr Slaa kumesababishwa na kukosa nafasi ya Urais.Shinikizo limetoka kwa mkewe kwani alikuwa amejiandaa kuwa firstlady.
Kuhusu kuachana na siasa toka July TL kasema Dr Slaa ni Mwongo maana amechukua mshahara wa mwezi August na amekuwa akitumia Ulinzi pamoja na Gari la cham
No comments: