Kalapina ashinda kizuizi cha ubunge mahakamani
By Kalapina
____________________
Facebook Comment From Mange Kimambi
Kwa issue hii ya wauza ..... Kuwa wabunge naweka uchama pembeni ....Wow, Kalapina amenigusa, ni mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT katika jimbo la Kinondoni. Kalapina ni mwanaharakati wa madawa ya Kulevya Yani Amekuwa mstari wa mbele kabisaaaa kuwasaidia waliothirika na madawa ya Kulevya.... Aisee naomba tuungane kumsuppport Huyu kaka aweze kushinda Ubunge jimbo la Kinondoni...... Yes Kinondoni inahitaji mwanaharakati Kama Huyu...... Jamani kampigieni Kura Huyu kijana... Iddi Azzan alimwekea kipingamizi akatolewa Ila akakata rufaa na kushinda na sasa karudi kwenye kinyang'anyiro .... Jamani hata Kama ulijiandikisha kupiga Kura kituo kingine unaweza still kwenda kupiga Kura kituo cha Kinondoni na ukamchagua Kalapina.Twende na Kalapina...... @rayc1982 @rayc1982 tunaomba support yako tafadhali
Chanzo:Udaku Specially
No comments: