![makaidi 2](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/10/makaidi-2.jpg?resize=562%2C279)
October 15 2015 moja ya taarifa kubwa ya siku ni kifo cha Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, ambaye alikua mwenyekiti wa chama cha NLD, Emmanuel Makaidi kufariki dunia
akiwa hospitalini huko Lindi, taarifa za mwanzo zinasema alikua akisumbuliwa na shinikizo la damu.
No comments: